Artist | Appy |
Category | Tanzanian Music |
Genre | Afrobeats |
Released | 2025 |
Duration | 03:50 |
Tanzanian singer-songwriter and performer, Appy, has recently released a new track titled "Mapenzi Ufala". This song showcases Appy's unique style and talent, making it a must-listen for music lovers everywhere.
With its catchy beats and heartfelt lyrics, "Mapenzi Ufala" is a captivating tune that will surely leave you wanting more. The song's infectious melody and Appy's soulful vocals create a truly unforgettable listening experience.
If you're looking for a fresh addition to your Playlist, be sure to check out "Mapenzi Ufala" by Appy. You won't be disappointed!
Appy is a rising star in the Tanzanian music scene, known for her dynamic performances and powerful songwriting. With a growing fan base and a string of successful releases under her belt, Appy is definitely an artist to watch. Her passion for music shines through in every song she creates, and "Mapenzi Ufala" is no exception.
Don't miss out on this incredible track - give "Mapenzi Ufala" a listen today and discover the magic of Appy!
Enjoy!
Appy Mapenzi Ufala Lyrics:
Mtu alo acha wazazi alipo nipata
Leo mi nimpe moyo wangu hivi nina kichaa
Na upendo wa kweli ni wa mama alo nizaa
Upendo mwingine bongo movie sanaa
Mtu unajipanga unakopa
Ili umfungulie Duka
Baadae anatoka na mteja wa hilo duka (Aaaaah)
Unanunua simu unajichosha
Haki ya nani unajichosha
Eti penzi linaliwa na mtu anaetuma vocha (Aaaaah)
Siyataki na maanisha
Siyataki na maanisha
Kwa jinsi nilivyotendwa
Siyataki na maanisha
Siyataki na maanisha
Siyataki na maanisha
Kama kuna anaenipenda
Siyataki na maanisha
Haya mapenzi ni ufala
Bora nichakarike nikatafute hela
Haya mapenzi ni ufala
Kisa mtoto wa mtu nishindwe kulala
Haya mapenzi ni ufala
Bora nichakarike nikatafute hela
Haya mapenzi ni ufala
Kisa mtoto wa mtu nishindwe kulala
Unaweza kujiona ndio main
Ukafua mpaka nguo za ndani
Kumbe mwenzako amekuweka kwenye foleni (Aaaaah)
Mengine siyasemi hadharani
Ila hudhuria vikaoni
Utasikia kwenye ndoa siku hizi kuna njia za pembeni
Eti mahaba yanilize
Oya niskilize
Nipo beach nakula upepo nipo bize
Yanini nijimalize
Nijiumize
Eti utamu huyo mtu ndo umtulize
Yeah yeah yeah yeah
Siyataki na maanisha
Siyataki na maanisha
Kwa jinsi nilivyotendwa
Siyataki na maanisha
Siyataki na maanisha
Siyataki na maanisha
Kama kuna anaenipenda
Siyataki na maanisha
Haya mapenzi ni ufala
Bora nichakarike nikatafute hela
Haya mapenzi ni ufala
Kisa mtoto wa mtu nishindwe kulala
Haya mapenzi ni ufala
Bora nichakarike nikatafute hela
Haya mapenzi ni ufala
Kisa mtoto wa mtu nishindwe kulala
DOWNLOAD Mapenzi Ufala by Appy MP3 [5.35 MB]